Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (AS) ambaye ni maarufu kama Yesu miongoni mwa Wakristo.
Habari ID: 3479955 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/26
Mazungumzo ya Dini
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika salamu zake za Krismasi kwa Papa Francis, amesema: Kusherehekea kuzaliwa kwa Nabii Isa Masih (AS) ni fursa ya kiroho ya kukumbusha Amri za Mwenyezi Mungu na mafundisho ya thamani ya manabii wote kwa ajili ya kutimiza haki, amani, na uhuru.
Habari ID: 3479954 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/26
Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA)- Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.
Habari ID: 3476309 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26
Uislamu na Ukristo
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewatumia ujumbe wa kheri Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla wakati huu wanapoadhimisha sherehe zao za Krismasi.
Habari ID: 3476304 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25